SHUKURU ALLAH,NA JUMA ABDIKADIR JATTANI

 SHUKURU ALLAH

Kwa neema ya kuona,Shukrani ni kwako mola,

Kwa neema ya kunena, Shukrani ni kwako Allah,

Kwa neema ya sikina, Shukurani ni ya maula,

Leo Kesho maishani,Bado Shukuru maulana.


Mwandishi:Juma Malenga

Comments